Bright Star
Academy.

MALEZI NA TAALUMA NI KIPAUMBELE PARENTING & ACADEMICS IS OUR PRIORITY

PORTALI YA KIDIJITALI DIGITAL CAMPUS PORTAL

Pata matokeo, ripoti za mahudhurio na hali ya ada kwa urahisi zaidi kupitia mfumo wetu. Access results, attendance reports and fee statements easily through our system.

INGIA KWENYE MFUMO LOGIN TO PORTAL
Kuhusu Shule About School

Mazingira bora ya kujifunzia. The best learning environment.

Bright Star Academy tunatoa elimu inayozingatia ukuaji wa mtoto kimaadili, kifikra na kimwili kwa kutumia mbinu za kisasa. Bright Star Academy provides education focusing on moral, mental and physical growth using modern teaching techniques.